Ezekiel 30:14


14 aNitaifanya Pathrosi
Pathrosi ni Misri ya Juu.
kuwa ukiwa
na kuitia moto Soani,
nami nitaipiga kwa adhabu Thebesi
Thebesi kwa Kiebrania ni No (au No-Amoni), mji katika Misri.

Copyright information for SwhKC